Shirika la Ulaya la madawa la Ulaya (EMA) limetoa tahadhari wiki hii kuhusu athari za utumiaji wa mchanganyiko huu, ambao hutengenezwa kwenye maabala kwa muundo wa tembe au chembechembe zinazochanganywa na maji na katika baadhi ya nchi katika bara hilo huuzwa katika maduka ya dawa bila idhini ya daktari. Kamati ya tathmini ya shirika la madawa la Ulaya iliashauri kuwa kijikaratasi kinachowekwa...